Mhe Abood akisisitiza jambo.
Kuhusu uhaba wa maji awali maeneo yaliyokuwa yanasumbua ni nanenane chamwino na mkundi,lakini kote tayari visima vimesha chimbwa na hakuna tena tatizo hilo. Miundo mbinu iko vizuri barabara zote ziko kwenye kiwango cha rami, na ambazo zilikuwa bado kwa mfano ya mlapakolo posta kuingia uwanja wa jamhuri na ile ya kilakala zote kwa sasa zinajengwa kwa kiwango cha rami,usiku taa zinawaka kwenye barabara zote t. Kuhusu vitendo vya uharifu ni kweli maeneo ya manzese, chamwino na msamvu kuna hilo tatizo, lakini kwa kushirikiana na jeshi la polisi pamoja na wananchi (ulinzi shirikishi)
“Kimsingi tangu niingie madarakani najitahidi sana kuwatumikia wananchi wa jimbo langu la Morogoro. Wao pia ni mashahidi jinsi ninavyojitoa wakati mwingine natoa fadha zangu mfukoni kununua madawa kwenye zahanati na vituo vya afya.
“Alisema Abood huku akisisitiza kuwa swala la majokofu ya mochwari ya Hospital ya Mkoa wa Morogoro lazima lipatiwe ufumbuzi mapema.Upungufu wa madawati walimu hasa wa masomo ya sayansi na maabara ni tatizo la nchi nzimalakini najitahidi kuhakikisha kuwa nalimaliza kabisa jimboni mwangu.
Tupo kwenye utekelezaji wa agizo la raisi kuhakikisha kila shule ya sekondali ya kata kuna kuwa na maabara.
“
No comments:
Post a Comment