Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora Oktoba 14, 2014 wakati wa maadhimisho ya kilele cha Mbio za Mwenge na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere zilizofanyika kitaifa Mkoani Tabora
Kiongozi wa mbio za mwenge 2014 Rachel Kassandra pamoja na wenzake,kikosi cha Polisi wakiwa wanaenda kukabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa maadhimisho ya kilele cha Mbio za Mwenge na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere zilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora leo.Oktoba 14, 2014
Kiongozi wa mbio za mwenge 2014 Rachel Kassandra akikabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa maadhimisho ya kilele cha Mbio za Mwenge na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere zilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora leo.Oktoba 14, 2014
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenge wa Uhuru wakati wa maadhimisho ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru ziizofanyika Mkoani Tabora leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa mbio za mwenge mwaka wa Uhuru wakati wa maadhimisho ya kilele cha mbio hizo zilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora Oktoba 14, 2014
Kiongozi wa mbio za mwenge 2014 Rachel Kassandra pamoja na wenzake, wakipokea vyeti kutoka kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa maadhimisho ya kilele cha Mbio za Mwenge na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere zilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora leo.Oktoba 14, 2014
Kiongozi wa mbio za mwenge 2014 Rachel Kassandra akisoma na kukabidhi taarifa ya mbio ya Mwenge kitaifa kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa maadhimisho ya kilele cha Mbio za Mwenge na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere zilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora leo.Oktoba 14, 2014 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa kilele cha mbio za mwenge 2014 ziilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora Oktoba 14, 2014
No comments:
Post a Comment