Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akikabidhi vifaa mbalimbali kwa wananchi wa jimbo lake ikiwa ni utekelezaji wa Ilani ya CCM na Ahadi zake alizotoa kwa wananchi wa Jimbo hilo
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akikabidhi Vifaa vya Michezo kwa Timu Maarufu ya Kaizer Chiefz Kutoka Jimbo la Morogoro Mjini.
No comments:
Post a Comment