Friday, 6 December 2013

MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI AZINDUA OFISI YA CHAMA CHA MADEREVA NA MAKONDAKTA KIHONDA-MOROGORO

Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini Abdullaziz Abood kulia akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa ofisi ya chama cha madereva wa daladala Kihonda-mjini mkoani Morogoro.
Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini Abdullazi Abood akizunduzi ofisi ya ofisi ya chama cha madereva wa daladala Kihonda-mjini mkoani Morogoro, kushoto ni Mwenyekiti wa chama cha madareva mkoa wa Morogoro Michael Mongi.
 
Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini Abdullaziz Abood kushoto akitoa hundi ya sh1 milioni kwa Mwenyekiti wa chama cha madareva mkoa wa Morogoro Michael Mongi ikiwa mchango kwa chama cha madereva wa daladala Kihonda-mjini wakati wa uzinduzi wa ofisi ya chama hicho leo mkoani Morogoro.
Mwenyekiti wa chama cha madareva mkoa wa Morogoro Michael Mongi akizungumza jambo.


No comments:

Post a Comment