Monday, 24 March 2014

CCM MADHUBUTI NDIYO CHANZO CHA MUUNGANO TULIONAO ULIODUMU KWA MIAKA 50


Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini Abdullaziz Abood akiteta jambo na Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Morogoro Innocent Kalogeris katika mkutano huo. 
 Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini Abdullaziz Abood ambaye pia ni Mjumbe wa NEC wilaya ya Morooro naye akizungumza katika mkutano huo ambapo ulitoa fursa ya viongozi kueleza majukumu mbalimbali waliyofanya ndani ya chama hicho.  

No comments:

Post a Comment