Friday, 21 March 2014

CCM YAENDELEA KUTEKELEZA AHADI ZAKE JIMBO LA MOROGORO

Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro Mh Hilda Mbiaji akiwa kwenye ziara ya kumkaribisha Katibu wa Mbunge katika wakati alipokuwa katika ziara ya kukagua Maendeleo ya Miradi iliyofadhiliwa na Mfuko wa Jimbo la Morogoro Mjini Ambapo katika kata ya Kihonda wamefanikiwa Kujenga Kituo cha afya na sasa Ujenzi wake unakaribia Kukamilika.
Katibu wa Mbungea Ndugu Moris Masala Akisaini kitabu cha wageni katika ziara yake hiyo










No comments:

Post a Comment