Mgeni rasmi siku ya wanawake duniani kwa wanawake wa Raawu Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Katikati Akiwa Meza Kuu Pamoja na wageni wengine Waalikwa.Ambapo katika Maadhimisho hayo wanawake walitakiwa kupendana na kufanya kazi kwa Bidii
Benki ya CRDB Walipendezesha siku hiyo kwa namna yake
No comments:
Post a Comment