Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na viongozi wa Bendi ya Msondo ngoma Ikulu jijini Dar es Salaam Oktoba 30, 2014 .Viongozi hao walimtembelea Rais Kikwete Ikulu na kufanya naye mazungumzo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na viongozi wa Bendi ya Msondo ngoma Ikulu jijini Dar es Salaam Oktoba 30, 2014.Viongozi hao walimtembelea Rais Kikwete Ikulu na kufanya naye mazungumzo
No comments:
Post a Comment