Friday, 31 October 2014

RAIS KIKWETE AFUNGUA MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA TUME YA UTUMISHI WA UMMA DAR ES SALAAM OKTOBA 31, 2014

1gfff

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho ya miaka 10 ya Tume ya ututmishi wa Umma lililofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Oktoba 30,201
2
ashiriki wa Kongamano la Maadhimiso ya miaka 10 ya tume ya Utumishi wa Umma lililofanyika jijini Dar es Salaam Oktoba 30,2014 wakifuatilia kwa kina Hotuba ya ufunguzi ya kongamano hilo ya Mhe. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete 

3
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho ya miaka 10 ya Tume ya ututmishi wa Umma lililofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Oktoba 30,201

4
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Kongamano la Maadhimiso ya miaka 10 ya tume ya Umma lililofanyika jijini Dar es Salaam Oktoba 30, 2014
5
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa tatu kushoto) pamoja na makatibu wakuu Kiongozi wastaafu Matern Lumbanga(kulia) na Philemon Luhanjo 

No comments:

Post a Comment