Saturday, 29 November 2014

MBUNGE AWAASA VIJANA KUSOMA KWA BIDII

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood AKiwa na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Kiislamu ya AT Taaun ya Morogoro Pamojas na Mkurugenzi wa African Muslim  Agency  Dk Adam Otham kwenye Mahafali ya Shule Hiyo.
Mgeni Ramsi Kwenye Mahafali ya Seminary ya At Taauni Ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akianda Mti mara baada ya Kuwasili 

Wahitimu wa Kidato cha NNe wa Seminary ya At Taauni Iliyo Manispaa ya Morogoro






No comments:

Post a Comment