Monday, 1 December 2014

MBUNGE WAJIMBO LA MOROGORO MJINI AMWAGA MSAADA WA MAMA WAJASIRIAMALI MORO

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akikabidhi Vyombo na kwa Wamama wajasiriamali wanaojishugulisha Na Kuika Maarufu  Kama Mama Ntilie ikiwa ni Utekelezaji wa Ahadi zake kwa Wakazi wa Jimbo la Morogoro Mjini.Mbunge Huyo alikadhi Vifaa Vyenye Dhamani Ya Shilingi Milioni 1O.


Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Vifaa  vya Michezo Kwa Timu Maarufu Manispaa ya Morogoro Kaizer Chiefs ili kuwawezesha Vijana Kuafanya Michezo Ambao Inatumika Kama Ajira






















No comments:

Post a Comment