Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mhe Aziz Abood Abood akijaribu kuendesha mmoja ya Pikipiki tano alizotoa msaada kwa chama cha waendesha boda boda jimbo la Morogoro[kushoto] ni katibu mkuu wa chama hicho Juma Mbenga.Mh aziz ameendelea kuwa karibu na wananch wake wakishirikiana kwa Pamoja kutekeleza ilani zake alizowaahidi wananchi wa Jimbi hilo sambamba na kutafuta namna ya kutatua matatizo ya wakazi wa jimbo hilo hususani ajira kwa vijana.
No comments:
Post a Comment