Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akikabidhi vifaa vya Michezo wa Timu ya kata ya Kauzeni kwajili ya Kuendeleza Michezo ndani ya kata hiyo
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Azizi Abood Akiwasikiliza Viongozi wa CCM wa Kata ya Konga wakati wa Ofisi ya kata hiyo Mara baada ya Mh Mbunge Kufanya Ukaguzi hiyo Na Kuahidi kutoa Msaada wa Bati 100 Kwajili ya Kumalizia Ujenzi wa Ofisi hiyo.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Azizi Abood Akitoa maagizo kwa Mtendaji wa Kata ya Konga Kutafuta Eneo la Ujenzi wa Shule Hiyo haraka Iwezekanavyo.Mh Abood amemuagiza Mtendaji huyo ndani ya mwezi
Mmmoja wa amepata Eneo la Ujenzi wa Shule na Ujenzi Uanze Mara Moja Ambapo Mh Mbunge Amechangia Shilingi Milion 5 za Kuanza Ujenzi Huo .
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Azizi Abood Akiongea na Wato wa Kata ya Kauzeni mara baad ya Kuwasili katika Kata hiyo kwajili ya Kusikiliza Kero Zinazowakabili wakazi wa Kata Hiyo.
Baadhi ya wakazi wa Kata ya kauzeni walioudhuria Mkutano ulioitishwa na Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akitoa Onyo wa Watendaji wa Kata za Jimbo la Morogoro Mjini Kutumia Fedha Zinazoletwa katika Kata Hiyo kwa Maendeleao ya wananchi lasivyo Watakiona kwa wale watakaofuja Fedha za Wananchi.
Bi Asha Ally akieleza Kwa Uchungu Kero Kubwa ya maji Inayowakabili wakazi wa Kata ya Kuuzeni.
Wachezaji wa Timu ya Mzinga ya Morogoro wakimsikiliza Kwa makini Mbunge wa Morogoro Mjini alipowatembelea Leo.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akikabidhi vifaa vya Michezo kwa Timu ya Mzinga ya Morogoro akiwa kama Mdau Mkubwa wa Michezo hasa Mpira wa Miguu
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akiongea na wandesha bodaboda kutoka kata ya mzinga namna wanavyokabiliwa na changamoto zinazowakabilikatika biashara yao.
No comments:
Post a Comment