Mbunge wa Morogoro mjini Mh Aziz Abood Akitete jambo na waziri wa Nishati na madini Mh Sospeter Muhongo kuhusu wananchi ambao hawajaunganishiwa Umeme katika jimbo la Morogoro
Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini Mh Aziz Abood akiongozana na Waziri wa Nishati na Madini Mh Sospeter Muhongo aliyevaa kti jeusi pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Morogor Mh Said Amanzi Kushoto walipotembelea Kampuni ya symbion ambayo inasambaza umeme katika maeneo Mbalimbali Mkoani Morogoro

No comments:
Post a Comment