Mbunge wa Morogoro Mjini Mh Azizi Abood ambaye pia ni Mchezaji wa Morogoro veterani akiwakilisha timu yake uwanjani dhidi ya timu ya magereza kingorwila.
Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini Abdullaziz Abood akiteta jambo na Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Morogoro Innocent Kalogeris katika mkutano huo.
MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI MH AZIZ M.ABOOD
ReplyDeleteNi ukweli usiopingika kazi ulizo fanya zajieleza,jinsi ulivyo wafikia wananchi ,wote tumeshuhudia, kila kona umefika ,kila ulipoitwa ulipatika.
Nimekuwepo morogoro mjini kwa mika 30 sasa ,ilikua vigumu mtu kuamini ungeweza UBUNGE, kumbe ikiwa mtu anahamua kwa MOYO kuwatumikia watu ,ataweza.
Kikwazo cha udini ,ukabila umekishinda umetembelea walipo watu wako..makanisani misikitini na popote walipokuwa uliwafuata kujua hali zao. Nimeshududia mara mbili ukiongea na wananchi wako kila walipokua na uhitaji,ziara zingine ulijipangia kuwatembelea,ukiwaelimisha kujiweka kwenye vikundi.
Miradi ya maji,barabara na vikundi vya uzalishajimali ulijihusisha navyo aslilimia 100%,
Napongeza juhudi zako ulizofanya kwa mhula wa 2010 -2015 na ni dua zangu na sala ikimpendeza BWANA YESU ..akupe tena 2015-2020 tuweze pata mema mangine.
Umeweka rekodi mpya ambayo haikuwepo ,staili uliyobuni ni mpya hivyo kwa kupima utekelezaji wa majukumu yako ,nakupa pongezi.
Kipindi hiki cha 2015- 2020 ,naombae ushughulikie makundi maalumu .makundi hayo ni kero za wafanya biashara wa mkoa wa Morogoro, Watoto wa Mitaani ,Wazee na wasiojiweza wanafunzi waliokosa ada za masomo,ubunifu wa ajira kwa vijana, michezo na ukuzaji vipaji,ujasilia mali na uwekezaji,ajira mbadala kwa wastaafu na vituo vya kuwaanda watu wanatakiwa kuanza maisha mapya ya kujitegema baada ya kumaliza vifungo magerezani
Kwenye mawazo haya nipo tayari kusaidiana nawe jinsi itakavyo fanikishwa kila moja ,maana nimeona na kushudia jinsi unavyo jituma,..
NAAMIN I KWA YEYOTE APENDAE MAENDELEO YA MOROGORO ,ataelewa ,atakubali , atakupa tena mika mingine 5 kutenda makubwa zaidi.
KAULI MBIU YANGU NI HII 2015-2020 KILA MTU ATETEWA KWA KAZI ZAKE JIMBONI KWAKE,