Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akifungua Bomba la Maji la Mradi wa Maji Kata ya Kingorwila lililopo Mtaa wa Mwembe msafa aliowatembelea kusikiliza kero zinazowakabili wakazi hao
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akionja Maji ya Bomba hilo
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akimtwisha Dumu la maji Bi Maria Mkazi wa Mwembe msafa Kata ya Kingorwila
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akikabidhi Hundi ya Shilingi laki tatu kwa Kiongozi wa kikundi cha sanaa cha Mitaa ya Tambula Reli na Tenki la Maji kwajili ya kukiwezesha kikundi hicho kununua Vifaa
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood
No comments:
Post a Comment