Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini na MNEC Mh Aziz Abood Akiwa Na Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Morogoro Mjini Mh Salim Mkolwe wakati Alipompokea Mbunge kwaajili ya Ufunguzi wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana CCM wa Wilaya Morogoro Mjini
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini na MNEC Mh Aziz Abood Akivalishwa Skafu mara baada ya Kuwasili
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini na MNEC Mh Aziz Abood Akiwa Meza kuu pamoja na Katibu wa Uvccm Wilaya ya Morogoro wakati wa Ufunguzi wa Baraza kuu la Umoja wa Vijana CCM Wilaya ya Morogoro kazi iliyoambatana na Kusimikwa kwa makamanda wa Umoja wa VIjana katika kata Zote 29 za jimbo la Morogoro Mjini
Makamanda wa Umoja wa Vijana wakiwa tayari kusimikwa na Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini na MNEC Mh Aziz Abood Ambaye ndiye alikuwa Mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Baraza Kuu la UVCCM Wilaya YA Morogoro.
No comments:
Post a Comment