Saturday, 28 December 2013

MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI AKABIDI PIKIPIKI SHINA LA KASI MPYA GEREJI

  Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini na MNEC Mh Aziz Abood  Akikabidhi Pikipiki kwa Mmoja wa wanachama wa Shina la Kasi mpya Gereji l;ililopo kata ya sabasaba jimbo la Morogoro mjini ikiwa kama chanzo cha kipato chao.Aidha Mbunge aliwaasa Vijana wa Shina Hilo kuitumia Pikipiki hiyo kwa Malengo yaliokusudiwa na Si mali ya MTtu Mmoja Bali i mali ya wanashina wote waitumie kwa manufaa yao Wenyewe.

 Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini na MNEC Mh Aziz Abood Akisikiliza kwa makini maelezo kuhusu shina hilo mara baad ya kulitembelea shina hilo
 .  Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini na MNEC Mh Aziz Abood Akipokelewa na Viongozi wa chama na serikali wa kata ya sabasaba wakati Mbunge huyo alipotembelea shina la Kasi Mpya Gereji lililopo kata ya Sabasaba Ambapo alikabidhi Pikipiki kwajili ya wanachama wa sHina hilo ikiwa ni Ahadi aliyoitoa ili kuwapa wanachama wa shina hilo fursa ya Kujipatia kipato ili kila mwanachama wa shina hilo aweze kujipatia maendeleo

No comments:

Post a Comment