Saturday, 1 February 2014

MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI AZIDI KUTEKELEZA AHADI ZAKE

 Kisima Kilichochimbwa kata ya Tungi kwajili ya Kutatua tatizo la Ukosefu wa maji katika kata hiyo.Ahadi hiyo imetekelezwa na Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Aliyoitoa wakati akiomba idhaa ya Kuchaguliwa Kuwa Mbunge wa Jimbo Hilo.
 Mkazi wa Kata ya Tungi manispaa ya Morogoro akichota maji katika kisima kilichochimbwa na Mbunge wa Jimbo Hilo

 Katibu wa Mbunge Akmtwisha Ndoo ya Maji Mkazi wa Kata ya Tungi


No comments:

Post a Comment