Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akikabidhi vifaa Mbalimbali kwa Vikundi vya wakina Mama wanaojihusisha na Shuguli za Mama Lishe Katika Mitaa ya Vituli, Bomela, Korogozo,Mungi, na Mgolole Iliyopo Kata ya Bigwa.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh aziz Abood akiwa kwenye banda la Mama Lishe maarufu Kama Mama Ntilie Ili Kujionea na kujua Changamoto Zinazowakabili wamama hao katika kazi yao Hiyo wakati wa Ziara yake ya Kutembelea Kata ya Bigwa Jimbo la Morogoro Mjini
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh aziz Abood Akiwa Nyumbani kwa Balozi wa CCM Mtaa wa Misongeni B Iliyopo Kata ya Bigwa Manispaa ya Morogoro Ndugu Omary Iddy aliyemgonjwa kwa Muda Mrefu Alipofika Kumpa Pole.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh aziz Abood Aliofika Kuhani Msiba wa Bi Nuru Binti Ally Ngozi wa Kata ya Bigwa.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akisikiliza Kwa Makini Kero iliyokuwa Ikiwasilishwa na Mmoja wa wakazi wa Mtaa wa Mgolole kata ya Bigwa alipotembelea Mtaa huo kusikiliza na Kutatua Kero za Wakazi wa Mtaa Huo.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akiongea kwa Msisitizo kuhusu watendaji kushugulikia Kero la wananchi wa Kata ya Bigwa kwa haraka.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akiwa Amezungukwa na Vijana wa Kata ya Bigwa wakimweleza Kuhusu kero ya Ajira Na Michezo Ambapo Mbunge Huyo alijibu Hoka Hizo kwa Kuwakabidhi Mpira wa Miguu .Kuhusu Ajira Mh Abood aliwaagiza Vijana Hao Kujiunga kwenye Vikundi vya Kufanya Shuguli za Maendeleo na yeye atawawezesha kwa Kuwapa Mitaji.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akiwa Nyumbani kwa Balozi wa CCM Mtaa wa Misongeni B Kata ya Bigwa Ndugu Omary Iddy aliyemgonjwa alipofika Kumjulia hali.
No comments:
Post a Comment