Friday, 9 January 2015

MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI ATAKA WATENDAJI WA KATA YA CHAMWINO KUWATUMIKIA WANANCHI

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akiagua Mfereji wa Maji machafu ulioo mtaa wa Kibao cha shule kata ya Chamwino wakati wa Ziara yake ya Kutembelea Kata hiyo kwa Lengo La kusikiliza Kero za wananchi na Kuzitatua.Mtaro huo wa Maji machafu umemsikitisha sana Mh Mbunge Kwa kuwa ni Hatari kwa Afya  za Wananchi wa Kata Hiyo Ametoa Agizo kwa Mtendaji wa Kata kwa kushirikiana Na Watendaji wa mtaa kutatua kero hiyo haraka iwezekanavyo.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akipatiwa maelezo kuhusu rundo la Mifuko ya Takataka iliyotelekezwa kwa muda mrefu


Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akitoa Maagizo kwa Viongozi wa Kata ya Chamwino Jimbo la Morogoro Mjini Kutatua Kero za wakazi wa Kata hiyo kwa kuwa ndio majukumu yao

No comments:

Post a Comment