Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akipokelewa na Wakazi wa Lugala mara baada ya Mbunge huyo alipowasili kuwatembelea wakazi hao.Katika ziara hiyo wakazi hao walimtaka Mh Abood Achukue Fomu kwajili ya kugombea Ubunge wa Jimbo hilo kwa Awamu nyingine kwa kuwa Maendeleo aliofanya Kwa kipindi cha Miaka mitano ni Makubwa na hayajawaikufanywa na Mbunge yoyote waliotawala Muda wowote
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akiwahutubia wakazi wa LugalaMbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akikabidhi Hundi ya Shilingi laki tano kwajili ya kuwasaidia wajasiriamali hao kuendesha shuguli yao ya ufugaji
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akipokea zawadi ya kuku kutoka kwa kikundi cha wajasiriamali wa Matumaini kata ya Lugala
No comments:
Post a Comment