Mbunge wa jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akipokelewa na wakazi wa kasanga Mkoani morogoro alipofanya ziara ya kushutukiza kukagua Mradi wa maji wa kijiji hicho.Katika ziara hiyo Mbunge alielezwa kuhusu Mradi wa maji uluizinduliwa na mbio za mwenge uliogarimu zaidi ya kiasi cha shilingi Milion 400 ambao kwa sasa Maji hayatoki.Mh Mbunge alikagua mradi na kujionea hali halisi na ndipo Mbunge kumpa mkandarasi wa mradi huyo siku saba maji yawe yametoka katika kijiji hicho cha kasanga lasivyo atawashugulikia wahusika
Mbunge wa jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akiongozana na wanachi wa Kasanga kwenda kukagua Mradi wa maji wa kijiji hicho.
Mbunge wa jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akishusha nguzo za umeme akishirikiana na wakazi wa Kasanga wakati Mh Mbunge Abood alipotembelea kijiji hicho kwa lengo la kukakua mradi wa maji pamoja na Usambazaji wa Umeme katika kijiji hicho
Mbunge wa jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akiongea na wakazi wa kasanga
No comments:
Post a Comment