Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini na MNEC Mh Aziz AboodAkiambatana na
MWenyekiti wa Serikali yaMtaa Mh Denison Mhele wakati wakielekea
Ukumbini tayari kwa uzinduzi wa Kikundi cha Vikoba Kinachojukikana kwa
jina Msimamo B Kilichopo kata ya sabasaba jimbo la Morogoro Mjini
Ambapo Kikundi Hicho wameungana kutumia Fursa ya Kukopeshana na kufanya
shuguli Mbalimbali za kujiletea Maendeleao .Pamoja na Kuwasaidia Wazee
na Kusomesha Watoto wanaoishi katika Mazingira Magum.Katika Uzinduzi Huo
Mh Mbunge aliwaambia wana Kikundi kuendelea Kuwa na Mshikamano Na Yeye
kama Mlezi wao yupo Nyuma yao kupambana na Changamoto Zinazowakabili
katika Shuguli zao .Katika Uzinduzi HuoMh Mbunge alikichangia Kikundi
Hicho Shilingi 600,000/= kwajili ya kuendesha Shuguli Mbalimbali za
Kikundi.
Wazee wanaolelewa na Kikukndi cha Vikoba cha Msimamo B
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini na MNEC Mh Aziz Abood Akisikiliza kwa
Makini Hotuba ya Kikundi cha Voikoba cha Msimamo B kilichopo Katika
Kata ya Sabasaba jimbo la Morogoro Mjini.
Wanachama Wa Kikundi cha Vikoba cha Msimamo B Wakimsikiliza kwa Makini
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini na MNEC Mh Aziz Abood Wakati akisoma
Hotuba yake ambapo Aliwaponeza wanakikundi kwa Umoja wao na pia Aliwatia
Moyo kuendelea kufanya Shuguli za Maendeleo ya Kujiletea Kipato Bila
Woga Wowote.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini na MNEC Mh Aziz Abood Akizindua Rasmi Kikundi cha Vikoba cha Msimamo B Kata ya Sabasaba.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini na MNEC Mh Aziz Abood Akionyesha
Cheti cha usajili cha Kikundi Hicho Ikiwa NI ishara ya Uzinduzi wa
Kikundi hicho
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini na MNEC Mh Aziz Abood Akipokea Risala Ya Kikundi Iliyosomwa
Ambapo katika Risala Hiyo Kikundi Hichi Kinakabiliwa na Changamoto
Nyingi Ambapo mbunge Abood aliwaahidi kuwa pamoja nao kwajili ya
Kuangalia Namna ya Kutatua Changamoto Zinaokikabili Kikundi Hicho.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini na MNEC Mh Aziz AboodAkimkabidhi Mwen
yekiti wa Kikundi Hicho Mama Sandra Juma Hundi ya Shilingi 600,000/=
Alizotoa kwajili ya Kusaidia Shuguli za Kikundi hicho
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini na MNEC Mh Aziz Abood Akiwa Katika Picha Ya Pamoja
No comments:
Post a Comment