Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Rojas Romuli akiwa katika matembezi ya mshikamano baada ya kupokea mbio za pikipiki katika eneo la Ruaha mkoani Iringa na kuingia mkoani hapa leo Aprili 16 mwaka huu .
Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Rojas Romuli akipokea picha ya baba wa Taifa Mwali Nyerere kutoka kwa katibu wa UVCCM mkoa wa Iringa Alawi Aidali kama moja ya vifaa vya matembezi hayo.
Katibu huyo wa CCM mkoa wa Morogoro akiongea baada ya kupokea matembezi hayo.
Vijana wa mkoa wa Morogoro wakiwa katika mstari mmoja wakisubiri mapokezi hayo katika eneo la Ruaha Mbuyuni.
katibu huyo wa mkoa wa Morogoro akiunganisha mkono na katibu wa UVCCM mkoa wa iringa kama ishara ya kukabidhiana matembezi hayo
Viajana wa Uvccm wakiwa katika mapokezi hayo.
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Dk Joel Bendera ambaye pia ni mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM ya mkoa wa Morogoro akivishwa skafu baada ya kuwasili katika viwanja vya polyester Club Kihonda maghorofani ambapo ndipo matembezi ya pikipiki yalipohitimishwa kwa mkoa wa Morogoro.
Katibu wa UVCCM mkoa wa Morogoro Nicodemas Tambo akiwa katika hitifaki za kutambulisha na kukaribisha wazungumzaji mkutano wa hadhara uliofanyika Kihonda Maghorofani baada ya kuhitimisha matembezi hayo kwa mkoa wa Morogoro.
Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Rojas Romul ambaye pia mjumbe wa kamati ya utekelezaji wa UVCCM mkoa akifyeka katika eneo la hospitali ya mkoa wa Morogoro kama moja ya maadhimisho hayo.
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Morogoro Heriet Sutta akiwa katika harakati za kufanya usafi katika hospitali ya mkoa wa Morogoro kama moja ya maadhimisho ya kuhitimisha matembezi ya pikipiki kwa mkoa wa Morogoro.
katibu wa CCM mkoa akiwana Kinyoa wakiteta jambo na kiongozi wa CCm kata ya Maghorofani.
Naibu meya wa manispaa ya Morogoro Lidya Mbiaji akiteta jambo na diwani wa kata ya Kiloka ambaye pia mjumbe wa kamati ya utekelezaji ya mkoa wa Morogoro Robart Selasela wakati mkutano ukiendelea.
Viongozi wa CCM mkoa wakifutilia mkutano huo kwa makini sana
Mkuu wa mkoa wa Morogoro akiongea katika mkutano huo
Y
No comments:
Post a Comment