Tuesday, 10 June 2014

MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI AFANYA ZIARA KATA MBALIMBALI JIMBONI KWAKE.

  
Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini AbdulAziz Abood akishuka kwenye tenki la maji wakati alipokuwa akikagua miradi ya maji katika jimbo lake..

wakinamama wa kikundi cha ujasiliamali wa kazi za mikono wakimpa zawadi ya mkeka na kikapo mbunge wa jimbo la Morogoro mjini AbdulAziz Abood alipokitembelea kikundi hicho na kukiongezea mtaji wa Sh300,000

No comments:

Post a Comment