Tuesday, 3 June 2014

MBUNGE WA MOROGORO AONGOZA WAKAZI WA MOROGORO KUUGA MWILI WA MTOTO NASRA(MTOTO WA BOKSI),NA AMEZIKWA LEO


 Mbunge Abdulaziz Abood akiweka udongo katika kaburi la marehemu Nasra na kuahidi kumfanyia hitma baada ya siku 40 tangu kuzikwa kwake.
Mfanyabiashara Al Saed Omar nae akiweka udongo katika kaburi la marehemu.
Mamia ya wakazi wa Mkoa wa Morogoro waliojitokeza Kuuga Mwili wa mtot Nasra

 Mwili wa mtot Nasra ukipelekwa makaburini Kuzikwa



 Waombolezaji wakiwa Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro, kuaga mwili wa mtoto Nasra Mvungi.




 Mfanyabiashara, Al Saed Omary aliyefanikisha kuleta mwili wa marehemu Nasra kutoka Dar es Salaam.


 Waombolezaji wakiingia katika mabasi ya Abood, kwenda katika maziko.



 Mazishi ya mtoto Nasra yaliendelea makaburi ya Kola mkoani Morogoro.
Picha kwa Hisani ya Father Kidevu Blog

No comments:

Post a Comment