Thursday, 19 February 2015

MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI AAGIZA UONGOZI WA MAMLAKA YA MAJI MKOA WA MOROGORO KUTATUA TATIZO LA KERO YA MAJI

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood  Akifungua Maji ya Bomba katika Kata ya Kihonda alipofanya ziara kukagua Kero mbalimbali zinazowakabili wakazi wa Jimbo la Morogoro Mjini.Mh Mbunge alifanya ziara Hiyo mara baada ya Kupokea Malalamiko kuhusu ukosefu wa maji katika Maeneo Mbalimbali ya Kata za Jimbo La Morogoro Mjini.Aidha Mh Mbunge alitoa wito kwa Mamlaka ya Maji mkoa wa Mogororo kutatua changamoto zinazosababisha wakazi wengi wa Morogoro hususani Jimbo la Morogoro Mjini Kukosa Maji kwa Muda mrefu

No comments:

Post a Comment