Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akisalimiana na Wagonjwa waliokuwa Katika Wodi ya Wazazi katika Hospitali ya Rufaa ya Morogoro Mara baada ya kufanya ziara baada ya kupokea Malalamiko Mengi kutoka kwa Wakazi wa Jimbo la Morogoro Mjini kuhusu Huduma zitolewazo katika Hospitali hiyo
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akimfariji Mgonjwa aliyekuwa akisubiri Huduma ya X ray wakati wa ziara yake aliyoifanya kujionea namna Huduma zinavyotolewa katika Hospitali ya rufaa ya Morogoro.Katika Ziara hiyo Mh Mbunge alitoa Msaada Mbalimbali ikiwemo Viti vya kubebea Wagonjwa.
No comments:
Post a Comment