Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akikabidhi darubini kwajili ya Vipimo kwenye zahanati ya kata ya Bigwa ikiwa ni utekelezaji wa Ahadi yake aliyoitoa alipofanya ziara Katika kata hiyo ambapo alisikiliza kero zinazowakabili wa kazi hao.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh aziz Abood Amekabidhi ahadi Mbalimbali kwa Viongozi wa Kata za jimbo la Morogoro Mjini.Mh Mbunge alikabidi vifaa Pamoja za Fedha kwajili ya kutatua Kero zinazowakabili Wakazi wa Kata zaJimbo Hilo.Ahadi ambazo Mh Mbunge alikabidhi ni zile alizozotoa Katika Mfululizo wa ziara zake anazofanya Mara kwa Mara kuwatembelea Wananchi wake Kujua ni Changamoto zinazowakabili katika Maisha yao ya kila siku.Katika Ahadi hizo alizokabidhi Mbunge zilikuwa na Dhamani ya Jumla ya Shilingi Milioni 60.
Mh azizi Abood amewaagiza Viongozi wa kat za Jimbo la Morogoro Mjini waliopokea ahadi hizo kwa niaba ya wananchi wa jimbo la Morogoro Mjini Kwenda kutumia ahadi hizo kwa malengo yaliyokusudi ili kuwaletea wananchi Maendeleo na si kutumia ahadi hizo kwa manufaa binafsi
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Kitanda cha wagonjwa kwajili ya Zahanati ya Kata ya Mlimani.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood vifaa mbalimbali kwa diwani wa kata ya Mlimabi kwajili ya Kuboresha Miundombinu ya ya Maji na barabara ili kutatua kero ya Upatikanaji wa maji na barabara
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akiwa na Mwalimu wa Shule ya msingi misufini iliyoadhimisha mika 40 tangu kuanzishwa kwake ambayo ilikuwa inakabiliwa na changamoto mbalimbali ambao mbunge wa jimbo la Morogoro Mjini alitoa shilingi milioni 5 kwajili ya ukarabati wa madarasa ya shule hiyo
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Baadhi ya vifaa kwa wakazi wa kata ya Kingorwila.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akikabidi baadhi ya vifaa hivyo kwa wananchi.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood matanki ya Maji kwa diwani wa kata ya Tungi kwajili ya kutatua kero ya Maji.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akikabidhi hundi ya shilingi laki tano kwa kikundi cha wajasiriamali cha tuyame kilichopo kata ya mlimani
No comments:
Post a Comment