Sunday, 22 February 2015

MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI AKABIDHI CHOO CHA SHULE YA MSINGI MKWAJUNI

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Kushoto akiongozana na Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro wakati Makabidhiano ya choo cha shule ya Msingi mkwajuni kata ya Kichangani.Choo hicho kilijengwa na Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mara baada ya shule hiyo kukabiliwa na ukosefu wa huduma ya choo baada ya choo cha awali kuharibika hali iliyopelekea shule hiyo kutakiwa kufungwa Ndipo Mbunge wa Jimbo hilo alipoingilia kati kwa Kujenga choo hicho ili kunusu shule hiyo kufungwa.




No comments:

Post a Comment